Kufuli Lyrics By Nandy ft. Marioo, Tboy Daflame

Kufuli Lyrics By Nandy ft. Marioo Tboy Daflame
Kufuli Lyrics By Nandy ft. Marioo Tboy Daflame

 

Nandy ft. Marioo, Tboy Daflame Kufuli Lyrics

Chu chu chu, chukua
Chu chu chu Chu chu chu
Chu chu chu, chukua Chu chu chu

Eiiiiii, Nakupenda unajua baby
Usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
Eiiiiii
Nakupenda unajua baby
Usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
Usinimix na viswaswadu, utanidhalilisha
Mi sio level zao zao, utanika sirisha
Aku mi sipendi tabu, utaniha ngaisha
Mi sio level zao zao, utanika sirisha
Aaahhh eeeeeeh
Eeh eeeh eeeeh
Zipu weka kufuli, kufuli tia kufuli, kufuli aaahh shuuu
Weeeh, waaa chaaa
Kwichi chichichii
Wacha cha chacha
Kruuu kwichi kwichi
Wachaaa, weeeeh, wachaaa
Kwichi chichichii
Wacha cha chacha
Kruuu kwichi kwichi
Wachaaa
Kwichi chichichii
Wacha cha chacha

T Boy daflame
Aah whiii
Aaah baby mi nikipenda nakera
Wivu wangu unaboa
Usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
Baby mi nikipenda nakera
Wivu wangu unaboa
Usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
Basi nipe yote, kisibaki kiporo
Aahh tukeshe wote
Yani mpaka tomorrow oooh, nipe vyote
Supu mpaka kongoro, aaah kote kote
Mpaka kwenye uchochoro, chochoro chochoro

Weeeh, waaa chaaa
Kwichi chichichii
Wacha cha chacha
Kruuu kwichi kwichi
Wachaaa, weeeeh, wachaaa
Kwichi chichichii
Wacha cha chacha
Kruuu kwichi kwichi
Wachaaa
Kwichi chichichii
Wacha cha chacha

Chu chu chu, chukua
Chu chu chu
Chu chu chu
Chu chu chu, chukua
Chu chu chu