Evelyn Wanjiru – Umwema Lyrics

Umwema Lyrics By Evelyn Wanjiru

Wewe ndiwe Mungu Mwema
Mwanzilishi wa mambo
Mema Usemalo, utendalo yote ni mema
Hubaliki kamwe u mwema ah ah

Wewe ndiwe Mungu Mwema
Mwanzilishi wa mambo
Mema Utendayo yote ni mema
Hubaliki kamwe u mwema ah

Nimeona ukituliza dhoruba kwa
Neno Lako Na nimeona ukiponya magojwa kwa
Neno Lako Wewe ni
Mungu mwenye upendo na huruma hubaliki
Na nimejua Umeniweza

Wewe ndiwe Mungu Mwema
Mwanzilishi wa mambo
Mema Utendayo yote ni mema
Hubaliki kamwe u mwema
Na mi nitasimulia juu ya wema
Wako Kutangaza na kuimba juu ya uaminifu
Wako Mana nimeonja uzuri
Wako Na nimejua

Wewe ni Mwema Wewe ndiwe
Mungu Mwema Mwanzilishi wa mambo
Mema Utendayo yote ni mema
Hubaliki kamwe u mwema
Tangu mwanzo wa nyakati hujabadilika
Hadi mwisho wa dahari hujabadilika
Vizazi hadi vizazi
We U Mwema
Hadi mwisho wa
Dahari hujabadilika