Evelyn Wanjiru – Sifa Zitande Lyrics

Sifa Zitande Lyrics By Evelyn Wanjiru

Uhimidiwe
Bwana,mungu wa
Israeli
Milele hata milele
Tulishukuru jina lako
Takatifu
Tulifanyie sifa jina lako
Oh

Uhimidiwe
Bwana,mungu wa
Israeli
Milele hata milele
Tulishukuru jina lako
Takatifu
Tulifanyie shangwe jina
Lako
Sifa zitande
Sifa zivume
Jina lake yesu lisifiwe
Kote

Mwimbieni bwana
Sifa kwa furaha
Lihimidiwe jina lake
Tukufu
Lililotukuka kuliko
Majina yote
Tangazeni matendo
Yake ya ajabu
Sifa zitande
Sifa zitande
Jina lake yesu lisifiwe
Kote

Daudi kazcheza
Yoshua kazunguka
Sifa zote zitande
Baba yetu baba yee
Zikufikie
Sifa zote eh sifa zote eh
Zitande, zitande
Zitande ,zitande
Jesus