Evelyn Wanjiru – Naringa Na Yesu Lyrics

Naringa Na Yesu Lyrics By Evelyn Wanjiru

Nashindwa na neno la kusema
Kwa Huyu Yesu eeh
Amekuwa Mwaminifu
Mwaminifu Kwangu
Mwaminifu Kwangu
Ae ae ae

Naringa
Naringa
Naringa
Naringa
Naringa na Nani eh?
Na nawiri kwa sababu

Ya Baraka Zake
Zinabubujika Kama
Chemichemi ya maji
Ae ae ae

Naringa
Naringa
Naringa
Naringa
Naringa na Nani eh?
Jamii yangu yanawiri

Ndoa
Familia
Kila kitu
Naringa ringa ringaMimi na Nani
eh?
Naringa ringa ringaMimi na Nani
eh